2 Samweli 13:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 (Basi alikuwa amevaa kanzu yenye mistari-mistari;+ kwa maana hivyo ndivyo binti za mfalme, mabikira, walivyokuwa wakivaa pamoja na makoti yasiyo na mikono.) Basi yule mtu wake wa kumhudumia akamtoa nje kabisa, akaufunga mlango nyuma yake.
18 (Basi alikuwa amevaa kanzu yenye mistari-mistari;+ kwa maana hivyo ndivyo binti za mfalme, mabikira, walivyokuwa wakivaa pamoja na makoti yasiyo na mikono.) Basi yule mtu wake wa kumhudumia akamtoa nje kabisa, akaufunga mlango nyuma yake.