-
2 Samweli 13:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Basi watumishi wa Absalomu wakamtendea Amnoni kama Absalomu alivyowaagiza; kisha wana wale wengine wa mfalme wakainuka, na kila mmoja wao akapanda nyumbu wake na kukimbia.
-