2 Samweli 13:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Na watumishi wa Absalomu wakamtendea Amnoni kama vile Absalomu alivyokuwa ameamuru;+ na wana wengine wote wa mfalme wakaondoka, wakapanda kila mmoja nyumbu wake, wakakimbia.
29 Na watumishi wa Absalomu wakamtendea Amnoni kama vile Absalomu alivyokuwa ameamuru;+ na wana wengine wote wa mfalme wakaondoka, wakapanda kila mmoja nyumbu wake, wakakimbia.