-
2 Samweli 13:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Mara tu alipomaliza kuzungumza, wana wa mfalme wakaingia, wakilia kwa sauti; mfalme pia na watumishi wake wote wakalia kwa uchungu sana.
-