-
2 Samweli 13:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Na ikawa, mara tu alipomaliza kusema, tazama, wana wa mfalme wakaingia, nao wakaanza kupaaza sauti zao na kulia; na hata mfalme na watumishi wake wote wakalia kilio kikubwa sana.
-