-
2 Samweli 14:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Basi Absalomu akamwita Yoabu ili amtume kwa mfalme, lakini Yoabu akakataa kuja. Kisha akatuma mtu amwite kwa mara ya pili, lakini bado akakataa kuja.
-