-
2 Samweli 14:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Basi Absalomu akatuma ujumbe kumwita Yoabu ili amtume kwa mfalme, naye hakukubali kuja kwake. Ndipo akatuma ujumbe tena, mara ya pili, naye hakukubali kuja.
-