2 Samweli 15:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Ndipo Daudi akamwambia Itai:+ “Pita uvuke.” Basi Itai Mgathi akavuka, pamoja na watu wake wote na watoto wake.
22 Ndipo Daudi akamwambia Itai:+ “Pita uvuke.” Basi Itai Mgathi akavuka, pamoja na watu wake wote na watoto wake.