2 Samweli 15:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Kwa hiyo Daudi akamwambia Itai:+ “Nenda uvuke.” Basi Itai Mgathi akavuka, na pia watu wake wote na watoto wadogo wote waliokuwa pamoja naye.
22 Kwa hiyo Daudi akamwambia Itai:+ “Nenda uvuke.” Basi Itai Mgathi akavuka, na pia watu wake wote na watoto wadogo wote waliokuwa pamoja naye.