2 Samweli 15:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Watu wote nchini walikuwa wakilia kwa sauti kubwa watu hao wote walipokuwa wakivuka ng’ambo ile nyingine, naye mfalme alikuwa amesimama kando ya Bonde la Kidroni;+ watu wote walivuka na kufuata barabara inayoelekea nyikani.
23 Watu wote nchini walikuwa wakilia kwa sauti kubwa watu hao wote walipokuwa wakivuka ng’ambo ile nyingine, naye mfalme alikuwa amesimama kando ya Bonde la Kidroni;+ watu wote walivuka na kufuata barabara inayoelekea nyikani.