- 
	                        
            
            2 Samweli 16:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
18 Basi Hushai akamwambia Absalomu: “Siwezi kufanya hivyo, ninamuunga mkono yule aliyechaguliwa na Yehova, na watu hawa, na wanaume wote wa Israeli. Nitakaa pamoja naye.
 
 -