-
2 Samweli 16:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kwa hiyo Hushai akamwambia Absalomu: “Sivyo; lakini yeye ambaye Yehova amemchagua na pia watu hawa na wanaume wote wa Israeli, nitakuwa wake, nami nitakaa pamoja naye.
-