2 Samweli 23:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Aliyemfuata ni Eleazari+ mwana wa Dodo+ mwana wa Ahohi, naye alikuwa miongoni mwa mashujaa hao watatu hodari waliokuwa na Daudi walipowadhihaki Wafilisti. Walikuwa wamekusanyika huko kwa ajili ya vita, na wanaume wa Israeli walipokimbia,
9 Aliyemfuata ni Eleazari+ mwana wa Dodo+ mwana wa Ahohi, naye alikuwa miongoni mwa mashujaa hao watatu hodari waliokuwa na Daudi walipowadhihaki Wafilisti. Walikuwa wamekusanyika huko kwa ajili ya vita, na wanaume wa Israeli walipokimbia,