-
2 Samweli 23:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Aliyemfuata ni Shamma mwana wa Agee, Mharari. Wafilisti walikusanyika kule Lehi, mahali ambapo palikuwa na shamba lililojaa dengu; na watu wakakimbia kwa sababu ya Wafilisti.
-