1 Wafalme 2:39 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 39 Lakini baada ya miaka mitatu, watumwa wawili wa Shimei wakatoroka na kwenda kwa Akishi+ mwana wa Maaka mfalme wa Gathi. Shimei alipoambiwa, “Tazama! Watumwa wako wameenda Gathi,”
39 Lakini baada ya miaka mitatu, watumwa wawili wa Shimei wakatoroka na kwenda kwa Akishi+ mwana wa Maaka mfalme wa Gathi. Shimei alipoambiwa, “Tazama! Watumwa wako wameenda Gathi,”