1 Wafalme 2:46 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 46 Ndipo mfalme akamwamuru Benaya mwana wa Yehoyada, basi akatoka nje na kumpiga Shimei, akamuua.+ Hivyo, ufalme ukaimarishwa kabisa mikononi mwa Sulemani.+
46 Ndipo mfalme akamwamuru Benaya mwana wa Yehoyada, basi akatoka nje na kumpiga Shimei, akamuua.+ Hivyo, ufalme ukaimarishwa kabisa mikononi mwa Sulemani.+