-
1 Wafalme 3:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Siku ya tatu baada ya mimi kuzaa mtoto, mwanamke huyu pia alizaa mtoto. Tulikuwa pamoja, sisi wawili tu; hapakuwa na mtu mwingine yeyote nyumbani.
-