-
1 Wafalme 3:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Na ikawa kwamba, katika siku ya tatu baada ya mimi kuzaa, huyu mwanamke pia akazaa. Nasi tulikuwa pamoja. Hapakuwa na mgeni pamoja nasi katika nyumba, hapakuwa yeyote ila sisi wawili katika nyumba.
-