1 Wafalme 3:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Basi akaamka katikati ya usiku, akamchukua mwanangu kutoka kando yangu mimi kijakazi wako nilipokuwa nimelala usingizi, akamlaza mikononi mwake,* kisha akamlaza mwana wake mfu mikononi mwangu.
20 Basi akaamka katikati ya usiku, akamchukua mwanangu kutoka kando yangu mimi kijakazi wako nilipokuwa nimelala usingizi, akamlaza mikononi mwake,* kisha akamlaza mwana wake mfu mikononi mwangu.