-
1 Wafalme 3:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kwa hiyo akaamka katikati ya usiku, akamchukua mwanangu kutoka kando yangu wakati kijakazi wako alipokuwa amelala usingizi, akamlaza kifuani pake, na mwana wake mfu akamlaza kifuani pangu.
-