-
1 Wafalme 3:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Nilipoamka asubuhi ili kumnyonyesha mwanangu, nikaona amekufa. Kwa hiyo nikamchunguza kwa makini, nikagundua kwamba hakuwa mwanangu niliyemzaa.”
-