1 Wafalme 3:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Nilipoamka asubuhi ili kumnyonyesha+ mwanangu, tazama, alikuwa amekufa. Kwa hiyo nikamchunguza kwa makini asubuhi, na tazama! yeye hakuwa mwanangu niliyemzaa.”
21 Nilipoamka asubuhi ili kumnyonyesha+ mwanangu, tazama, alikuwa amekufa. Kwa hiyo nikamchunguza kwa makini asubuhi, na tazama! yeye hakuwa mwanangu niliyemzaa.”