1 Wafalme 6:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Sulemani aliifunika sehemu ya ndani ya nyumba hiyo kwa dhahabu safi,+ naye akaweka minyororo ya dhahabu kutoka upande mmoja hadi mwingine mbele ya chumba hicho cha ndani zaidi+ kilichokuwa kimefunikwa kwa dhahabu.
21 Sulemani aliifunika sehemu ya ndani ya nyumba hiyo kwa dhahabu safi,+ naye akaweka minyororo ya dhahabu kutoka upande mmoja hadi mwingine mbele ya chumba hicho cha ndani zaidi+ kilichokuwa kimefunikwa kwa dhahabu.