-
1 Wafalme 7:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Na kila gari lilikuwa na magurudumu manne ya shaba na vyuma vya katikati vya shaba vinavyozungusha magurudumu hayo, na nguzo nne za pembeni ziliyashikilia. Na kila upande chini ya beseni kulikuwa na vitegemezo vilivyotengenezwa kwa mashada ya maua yaliyoyeyushwa.
-