-
1 Wafalme 7:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Na palikuwa na magurudumu manne ya shaba kwenye kila behewa, na ekseli za shaba; na sehemu zake nne za pembeni zilikuwa maegemeo yake. Maegemeo yalikuwa chini ya beseni, yakiwa yamefanyizwa kwa shada kuanzia kwa moja mpaka lile lingine.
-