-
1 Wafalme 7:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Mdomo wake ulikuwa katika sehemu ya juu, nao ulichomoza juu kwa kipimo cha mkono mmoja; na mdomo huo ulikuwa wa mviringo, na kitako chote kilikuwa na urefu wa mkono mmoja na nusu, na mdomo wake ulikuwa na michongo. Na kuta za pembeni za magari hayo zilikuwa za mraba, si mviringo.
-