-
1 Wafalme 7:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Na kinywa chake kutoka ndani mpaka kwenye maegemeo na kwenda juu kilikuwa urefu wa mikono [?]; na kinywa chake kilikuwa cha mviringo, muundo wa kinara cha urefu wa mkono mmoja na nusu, na pia juu ya kinywa chake palikuwa na michongo. Na kuta zao za pembeni zilikuwa za mraba, si mviringo.
-