-
1 Wafalme 7:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Na yale magurudumu manne yalikuwa chini ya kuta hizo, na nguzo zilizoshikilia magurudumu ziliunganishwa na gari, na kila gurudumu lilikuwa na kimo cha mkono mmoja na nusu.
-