-
1 Wafalme 7:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Na yale magurudumu manne yalikuwa chini ya zile kuta za pembeni, na yale maegemeo ya magurudumu yalikuwa kando ya behewa; na kimo cha kila gurudumu kilikuwa mkono mmoja na nusu.
-