1 Wafalme 11:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Baada ya muda dada ya Tapenesi akamzalia mwana, Genubathi, na Tapenesi alimlelea* katika nyumba ya Farao; Genubathi aliendelea kukaa katika nyumba ya Farao miongoni mwa wana wa Farao.
20 Baada ya muda dada ya Tapenesi akamzalia mwana, Genubathi, na Tapenesi alimlelea* katika nyumba ya Farao; Genubathi aliendelea kukaa katika nyumba ya Farao miongoni mwa wana wa Farao.