1 Wafalme 11:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Baada ya muda dada ya Tapenesi akamzalia Genubathi mwana wake, na Tapenesi akamwachisha kunyonya+ katika nyumba ya Farao; na Genubathi akaendelea kukaa katika nyumba ya Farao kati ya wana wa Farao.
20 Baada ya muda dada ya Tapenesi akamzalia Genubathi mwana wake, na Tapenesi akamwachisha kunyonya+ katika nyumba ya Farao; na Genubathi akaendelea kukaa katika nyumba ya Farao kati ya wana wa Farao.