-
1 Wafalme 13:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kulikuwa na nabii fulani mzee aliyekaa Betheli, wanawe wakaja nyumbani na kumsimulia mambo yote ambayo mtu wa Mungu wa kweli alikuwa amefanya siku hiyo kule Betheli na maneno aliyomwambia mfalme. Baada ya kumsimulia baba yao mambo hayo,
-