1 Wafalme 13:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Na nabii+ fulani mzee alikuwa akikaa Betheli, na wanawe wakaja na kumsimulia kazi yote ambayo yule mtu wa Mungu wa kweli alikuwa amefanya siku hiyo katika Betheli na yale maneno aliyomwambia mfalme, nao wakaendelea kumsimulia baba yao.
11 Na nabii+ fulani mzee alikuwa akikaa Betheli, na wanawe wakaja na kumsimulia kazi yote ambayo yule mtu wa Mungu wa kweli alikuwa amefanya siku hiyo katika Betheli na yale maneno aliyomwambia mfalme, nao wakaendelea kumsimulia baba yao.