-
1 Wafalme 13:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Watu waliokuwa wakipita hapo waliona maiti hiyo ikiwa imetupwa barabarani na simba akiwa amesimama kando yake. Wakaenda na kusimulia habari hizo katika jiji ambamo yule nabii mzee alikuwa akiishi.
-