-
1 Wafalme 13:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Na tazama, palikuwa na watu wakipita, nao wakaiona ile maiti imetupwa barabarani na simba amesimama kando ya maiti. Ndipo wakaingia na kusema habari hizo katika jiji ambamo yule nabii mzee alikuwa akikaa.
-