1 Wafalme 15:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Kisha Asa akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake katika Jiji la Daudi babu yake; na Yehoshafati+ mwanawe akawa mfalme baada yake.
24 Kisha Asa akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake katika Jiji la Daudi babu yake; na Yehoshafati+ mwanawe akawa mfalme baada yake.