1 Wafalme 16:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Alinunua mlima wa Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili za fedha,* akajenga jiji juu ya mlima huo. Jiji alilojenga aliliita Samaria,*+ jina la Shemeri mmiliki* wa mlima huo.
24 Alinunua mlima wa Samaria kutoka kwa Shemeri kwa talanta mbili za fedha,* akajenga jiji juu ya mlima huo. Jiji alilojenga aliliita Samaria,*+ jina la Shemeri mmiliki* wa mlima huo.