1 Wafalme 17:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Basi akainuka na kwenda Sarefathi. Alipofika kwenye lango la jiji, kulikuwa na mwanamke fulani mjane aliyekuwa akiokota kuni. Basi akamwita mwanamke huyo na kumwambia: “Tafadhali, niletee maji kidogo kwenye kikombe ninywe.”+ 1 Wafalme Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 17:10 Mnara wa Mlinzi,2/15/2014, uku. 13
10 Basi akainuka na kwenda Sarefathi. Alipofika kwenye lango la jiji, kulikuwa na mwanamke fulani mjane aliyekuwa akiokota kuni. Basi akamwita mwanamke huyo na kumwambia: “Tafadhali, niletee maji kidogo kwenye kikombe ninywe.”+