1 Wafalme 17:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Basi akaondoka, akaenda Sarefathi, akafika kwenye mwingilio wa jiji; na tazama! mwanamke, mjane, alikuwa hapo akikusanya kuni. Basi akamwita na kumwambia yule mwanamke: “Tafadhali, niletee maji kidogo katika chombo ninywe.”+ 1 Wafalme Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 17:10 Mnara wa Mlinzi,2/15/2014, uku. 13
10 Basi akaondoka, akaenda Sarefathi, akafika kwenye mwingilio wa jiji; na tazama! mwanamke, mjane, alikuwa hapo akikusanya kuni. Basi akamwita na kumwambia yule mwanamke: “Tafadhali, niletee maji kidogo katika chombo ninywe.”+