-
1 Wafalme 18:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Sasa Eliya akawaambia manabii wa Baali: “Chagueni ng’ombe dume mmoja mchanga na kumtayarisha kwanza, kwa sababu ninyi ni wengi. Kisha mliite jina la mungu wenu, lakini msiwashe moto.”
-