-
1 Wafalme 18:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Sasa Eliya akawaambia manabii wa Baali: “Jichagulieni ng’ombe mchanga mmoja, halafu mkamtayarishe kwanza, kwa sababu ninyi ndio wengi; nanyi mliitie jina la mungu wenu, lakini msiwashe moto.”
-