-
1 Wafalme 20:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Wakaendelea kupiga kambi wakielekeana kwa siku saba, na katika siku ya saba vita vikaanza. Kwa siku moja, Waisraeli wakawaua wanajeshi 100,000 Wasiria wanaotembea kwa miguu.
-