-
1 Wafalme 20:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Na mimi mtumishi wako nilipokuwa nikishughulika hapa na pale, kwa ghafla mtu huyo akatoroka.” Mfalme wa Israeli akamwambia: “Hivyo ndivyo utakavyohukumiwa; umejihukumu mwenyewe.”
-