1 Wafalme 20:40 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 40 Na ikawa kwamba mtumishi wako alipokuwa akitenda mambo hapa na pale, tazama, yule mtu alitoweka.” Kwa hiyo mfalme wa Israeli akamwambia: “Hivyo ndivyo ilivyo hukumu yako mwenyewe. Wewe mwenyewe umeamua.”+
40 Na ikawa kwamba mtumishi wako alipokuwa akitenda mambo hapa na pale, tazama, yule mtu alitoweka.” Kwa hiyo mfalme wa Israeli akamwambia: “Hivyo ndivyo ilivyo hukumu yako mwenyewe. Wewe mwenyewe umeamua.”+