1 Wafalme 22:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Halafu akamuuliza Yehoshafati: “Je, utaenda pamoja nami kupigana kule Ramothi-gileadi?” Yehoshafati akamjibu hivi mfalme wa Israeli: “Mimi ni kama wewe. Watu wangu ni kama watu wako. Farasi wangu ni kama farasi wako.”+
4 Halafu akamuuliza Yehoshafati: “Je, utaenda pamoja nami kupigana kule Ramothi-gileadi?” Yehoshafati akamjibu hivi mfalme wa Israeli: “Mimi ni kama wewe. Watu wangu ni kama watu wako. Farasi wangu ni kama farasi wako.”+