2 Wafalme 23:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Katika siku zake Farao Neko mfalme wa Misri alikuja kukutana na mfalme wa Ashuru karibu na Mto Efrati, kisha Mfalme Yosia akaenda kukabiliana naye; lakini Neko alipomwona, alimuua huko Megido.+ 2 Wafalme Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 23:29 w00 9/15 30 2 Wafalme Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 23:29 Mnara wa Mlinzi,9/15/2000, uku. 30
29 Katika siku zake Farao Neko mfalme wa Misri alikuja kukutana na mfalme wa Ashuru karibu na Mto Efrati, kisha Mfalme Yosia akaenda kukabiliana naye; lakini Neko alipomwona, alimuua huko Megido.+