2 Wafalme 1:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Kisha mfalme akamtuma mkuu wa 50 na wanaume wake 50 kwa Eliya. Mkuu huyo alipanda kwenda kumwona, akamkuta ameketi kwenye kilele cha mlima. Akamwambia: “Mtu wa Mungu wa kweli,+ mfalme anasema, ‘Shuka chini.’” 2 Wafalme Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:9 Igeni Imani Yao, makala 1
9 Kisha mfalme akamtuma mkuu wa 50 na wanaume wake 50 kwa Eliya. Mkuu huyo alipanda kwenda kumwona, akamkuta ameketi kwenye kilele cha mlima. Akamwambia: “Mtu wa Mungu wa kweli,+ mfalme anasema, ‘Shuka chini.’”