2 Wafalme 3:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Mfalme wa Moabu alipoona kwamba ameshindwa vitani, akachukua wanaume 700 waliojihami kwa mapanga ili wapenye na kuingia kwa mfalme wa Edomu;+ lakini hawakuweza.
26 Mfalme wa Moabu alipoona kwamba ameshindwa vitani, akachukua wanaume 700 waliojihami kwa mapanga ili wapenye na kuingia kwa mfalme wa Edomu;+ lakini hawakuweza.