2 Wafalme 3:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Mfalme wa Moabu alipoona kwamba pigano limekuwa na nguvu kumshinda, ndipo mara moja akachukua pamoja naye watu mia saba wenye kutumia upanga ili wapenye mpaka kwa mfalme wa Edomu;+ lakini hawakuweza.
26 Mfalme wa Moabu alipoona kwamba pigano limekuwa na nguvu kumshinda, ndipo mara moja akachukua pamoja naye watu mia saba wenye kutumia upanga ili wapenye mpaka kwa mfalme wa Edomu;+ lakini hawakuweza.