-
2 Wafalme 6:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Mtu wa Mungu wa kweli akauliza: “Limeanguka wapi?” Basi akamwonyesha mahali hapo. Ndipo Elisha akakata kipande cha mti na kukitupa hapo, akalifanya shoka lielee.
-